Usalama barabarani ni zaidi ya sheria, ni kinga ya afya na maisha. Kuanzia kufunga mkanda hadi kupunguza mwendokasi, hatua ndogo barabarani zinaweza kuzuia ajali, ulemavu na vifo vinavyoweza kuzuilika ...